Huyu FID Q Hatari sana

Unaemtaka humpati na utampata wapi/anaekutaka haumtaki na humpi nafasi..

Ulimi mbili ni ngoma kubwa Sana. Fid kayachambua mapenzi balaa.
 
Unamuita darling.wife au mama mamito/unapata habari za wanafiki kuna warafi wanamla hadi *****
 
Anasema.
Hii nimeipenda sana huyu jamaa ni fundi sana...
Unamwita queen na una passion ya kumwona/
Simu yake ina maPin na maPassword kila kona/
Na majina ka kadabrq kumbe ibrah yaani roma/
Na aliyemsave kama baba na ana jiba naye kinoma.
 
"Wengi wanayajua mapenzi lakini wachache wanayainjoy"
Fid q


Iko vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…