Huyu FID Q Hatari sana

Mapenzi ya sku hizi..ni ruksa kushikana..lakini sio kushikiana simu-Fid Q
 
Dah fid nyimbo yake inahitaji wiki mbili kuielewa tena ukiwa unaisikiliza kwa umakini sijui anatumia mda gani kuandika anaitendea haki kazi ya fasihi ni artist pekee katika uso wa dunia anaimba kama yeye na huyo mtu s mwingine ni fard kubanda hakuna mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FID Q in mfalme wa Hip Hop, Joh anafutia. Diamond ni mfalme pande ile Kiba anafuatia.
 
Masaa hayarudi nyuma kama muda wakufuturu.....dah mimi hii ndo niliipenda sana yaani ipo poaa sana.
 
Huyu ndio mwenye hip hop yake sasa....Sio yule mwingine nyimbo nzima unasikia neno "Kata leta"
 
[Verse 1: Fid Q]
Hawamaanishi wanacho sema (lakini),huongea ya maana,
Madishi ninayo tema yakipotea ujue unalaana,
Wana drama ukikwama lawama bwana akikukana inauma sana,
Unanichanganya kutamaniana ujana na maana ya kupendana,
(mapenzi)Sio mashindano flani na flani wakomo ubishi,
Ni makubaliano ndani ya ki-moyo honey umridhishe,
Kuyaanza ni vigumu,kutengana ni rahisi,kuyafanya ya dumu,
inapaswa wakaanga sumu wote wa-tight,
Unamuita Queen na unapassion ya kumuona,
Simu yake ina pin na ma-password kila kona,
Na majina kama kadabra,kumbe ni Ibra yani Roma,
Na aliemsave kama baba,Ndio ulie jiba nae kinoma,
Ukienda kasi utaona life iko fast,
Kiasi Kwamba ata your first lover awezi kuwa your last,
Unamuona mrupo kisa ulimgonga kwa mshiko,
Anakuomba madusko anahonga batonga anagonga vitu,
Unamuita darling au wife mama mamito,
Unapata habari za wanafiki kuna walafi wanamla hadi jicho,
Unaemtaka haumpati utampata wapi,
Anaekutaka hautaki haumpi nafasi,
Akikuteka ukijiweka haukohoi,
Utakesha tu unacheka ushatekwa home boy,
Weka yeye atoe,asie enzi na usimboe,
Wengi wanayajua mapenzi lakini wachache wana ya enjoy,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…