Huyu Floyd Mayweather ni kumuombea afulie tu

Huyu Floyd Mayweather ni kumuombea afulie tu

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Hao watu ndio asili yao mkuu. yan we umeona hio tu! watu umewahi kuona akina birdman mtu anachezea pesa zimejaa contena bloo! au mtu anamwaga kwenye sweeming pesa za kutosha, akina youngblacstar mtu anamwaga pesa chumban akizilalia haonekani blooh sembuse huyo na hizo saa zake na vidolla dollar kadhaaa [emoji1]
 
Kuna clip moja alionekana anasema you either hate or get inspired, alionesha Rolls Royce 7, i call them lucky 7, i got the mayback, maybach or whatevwr you call it, sasa gari 7 za aina moja za kazi gani ni ukosefu wa elimu unawasumbua wamarekani weusi wwnye hela
 
Ni ulimbukeni tuu. Mbona wenzake akina Dr dre pdiddy na jigger wako poa tangu washike hela hadi Leo. Yani aibu
 
Hao watu ndio asili yao mkuu. yan we umeona hio tu! watu umewahi kuona akina birdman mtu anachezea pesa zimejaa contena bloo! au mtu anamwaga kwenye sweeming pesa za kutosha, akina youngblacstar mtu anamwaga pesa chumban akizilalia haonekani blooh sembuse huyo na hizo saa zake na vidolla dollar kadhaaa [emoji1]

Ana saa moja worth $15,000,000 ina maanisha ni tsh billion 35! Hao wanaomwaga hela kwenye chumba au kontena zile siyo hela halisi its acting ktk song shootings videos, but for Mayweather ni hela halisi, kiukweli hata mimi ananikera watu weusi siyo watoaji sana wa charity kuliko wazungu! Akiendelea hivyo one day atakuwa kama Tyson alikuwa na kila kitu baadaye akawa just another broke black sportsman.
 
Kwani KOSA LAKE NN?tuache WIVU...na sisi tupost NDOO ZETU Za maji,,,mbn akina CHIBU wanapost vijisent vya MADAFU mitandaoni na ,,mpo KIMYA?GET HATE or INSPIRE.... mambo kama hayo ndy yanapaswa yakupe HAMASA NA HASIRA ZA MAISHA,,,tutafute pesa wakuu,,,kama ni KUJIONA MATAWI YA JUU,,kila MTU humu ana jiona matawi kwa UPANDE WAKE...wangapi humu mkiwa kwenye VIGARI vyenu MNARUSHIA watu MATOPE na maji machafu wakati wa mvua bila kujali,,,?wangapi humu mnajiona nyie ndil nyie hakuna mwingine? Kila MTU anatamba kwa style YAKE,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamjua blackyoungstar?? anapost pesa kwel sio uongo!! alafu izo saa haziuzwi hio bei ikumbukwe pia watu kama huyo ni rahisi sana kuongeza 0 but over of all tuwaachie wenyew na maisha yao mkuu, mtu anapesa kama budget ya mwaka mzim ya tanzania waty did u expect!!!
 
Kwani KOSA LAKE NN?tuache WIVU...na sisi tupost NDOO ZETU Za maji,,,mbn akina CHIBU wanapost vijisent vya MADAFU mitandaoni na ,,mpo KIMYA?GET HATE or INSPIRE.... mambo kama hayo ndy yanapaswa yakupe HAMASA NA HASIRA ZA MAISHA,,,tutafute pesa wakuu,,,kama ni KUJIONA MATAWI YA JUU,,kila MTU humu ana jiona matawi kwa UPANDE WAKE...wangapi humu mkiwa kwenye VIGARI vyenu MNARUSHIA watu MATOPE na maji machafu wakati wa mvua bila kujali,,,?wangapi humu mnajiona nyie ndil nyie hakuna mwingine? Kila MTU anatamba kwa style YAKE,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Meiweza kazid bro. Anayoyafanya ni ulimbukeni
 
Hukuwepo wakati anazisaka usimpangie ku spend

Hate OR Get inspired

Ndio maana wabongo hatupendi wenzetu wafanikiwe, sasa wewe unamuombea afulie ili iweje, amekukosea nini, pesa zake zimekuuma kwa lipi, ulilazilimshwa umuangalie au ni shobo zako, kwanini usiwe inspired.???
 
Ila Meiweza kazid bro. Anayoyafanya ni ulimbukeni
Unajuwa KINACHOFANYIKA ni kwamba hawa watu wanakuwa na BIFU ZAO,,,mfano 50 CENTS ,,ana BIFU na jamaa muda tu,,,na anafanya mambo KUTAMBIA WENZAKE,,,,sasa mtu anatamba ,,,anaonyesha Mali zake,,,,anaonyesha PESA ZAKE,,,sisi tuumizwe na nn?wangapi humu tunapost MAGARI YETU STATUS ZA WHTSAP? Kila MTU anatamba kwa style YAKE,,,WAMAREKANI WEUSI wao KUTAMBA,,KURINGA,,KUJIONA WAO ZAIDI ndy JADI YAO.....huyo jamaa alishawahi KUMWAMBIYA 50 CENTS kwamba wewe UTAJIRI wako ni 18 MILIONS DOLLARS,,SAA yangu hii niliyovaa thamani YAKE ni 20 MILIONS DOLLARS,,, kwhyo wewe hupaswi kufanya BIFU NA MM,,wewe Fanya BIFU NA SAA YANGU....kwhyo huyo kuna watu anawatambia MKUU,,wala sio wewe,,,wala Mimi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa anaongoza kuchukiwa humu Jf,
Na hiyo ndio inaonesha sura halisi ya muafrika, CHUKI, unaanzaje kuchukia mafanikio ya mwenzio hadi umuombee afilisike? angekua mzungu ungesikia "aah hao ndivyo walivyo"

GET ANGRY OR GET INSPIRED.

'The World will be a better place if people will worry about their own life.'
 
Hayo mambo ni ya kawaida kwa baadhi ya hao wamarekani wenye asili ya kiafrika wakipata pesa na mafanikio kutokana na hali halisi ya maisha magumu waliyopitia huko awali.
Floyd amepitia maisha magumu sana na yenye changamoto nyingi. Mara nyingi watu wa aina hiyo wakifanikiwa kimaisha huwa wanapenda kutumia nguvu ya pesa kufahamika na kuheshimika.

Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kugongana na jamaa mmoja akiwa na wapambe wake kama 50 hivi katika Club moja maarufu Atl ilikuwa ikiitwa Club 112. Huyo jamaa alikuwa na wapambe kibao na wote walikuwa wakiendesha magari ya bei mbaya sana. Ndani kule VIP section walikuwa wameingia na mabegi ya hela (Duffle bags) zilizojaa pesa. Walikuwa wanarusha pesa chini tulipokuwa tumekaa sisi akina kajamba nani utafikiri wanarusha makaratasi. Ndio kina Wayne walipata ile concept ya Make it Rain kutoka kwa huyo jamaa na kundi lake. Hakuna narudia tena hakuna Baller yoyote US kwa wakati huo aliyemfikia huyo jamaa kwa pesa na matanuzi. Sio kina P.Diddy wala Jay Z. Hao wote walimjua na kumheshimu. Alikuwa anakula bata ya hatari sana.

Huyo jamaa anaitwa Demetrius Flenory aka Big Meech..the Real Big Meech. Na kundi lake lilikuwa linaitwa BMF (Black Mafia Family). Mayweather na mbwembwe zake zote anakalishwa na huyu mkali.
Pitia ytube search BMF au Big Meech uangalie mambo ya huyu Mwamba. Alikuwa sio mtu wa makelele sana ila wapambe ndio ilikuwa shida.
Free Big Meech.
 
Huyu jamaa anaongoza kuchukiwa humu Jf,
Na hiyo ndio inaonesha sura halisi ya muafrika, CHUKI, unaanzaje kuchukia mafanikio ya mwenzio hadi umuombee afilisike? angekua mzungu ungesikia "aah hao ndivyo walivyo"

GET ANGRY OR GET INSPIRED.

'The World will be a better place if people will worry about their own life.'
Lakini wao WAKIPOST VIGARI VYAO KOKO,,wanaona POA,,,waache WIVU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom