The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Utadhan kapata hela leoAibu nimeona mimi. Jamma anajua kijidai kama kabila furani havi hapa Bongo. Manina zake...
Ni ulimbukeni tuu. Mbona wenzake akina Dr dre pdiddy na jigger wako poa tangu washike hela hadi Leo. Yani aibuKuna clip moja alionekana anasema you either hate or get inspired, alionesha Rolls Royce 7, i call them lucky 7, i got the mayback, maybach or whatevwr you call it, sasa gari 7 za aina moja za kazi gani ni ukosefu wa elimu unawasumbua wamarekani weusi wwnye hela
Hao watu ndio asili yao mkuu. yan we umeona hio tu! watu umewahi kuona akina birdman mtu anachezea pesa zimejaa contena bloo! au mtu anamwaga kwenye sweeming pesa za kutosha, akina youngblacstar mtu anamwaga pesa chumban akizilalia haonekani blooh sembuse huyo na hizo saa zake na vidolla dollar kadhaaa [emoji1]
Ana saa moja worth $15,000,000 ina maanisha ni tsh billion 35! Hao wanaomwaga hela kwenye chumba au kontena zile siyo hela halisi its acting ktk song shootings videos, but for Mayweather ni hela halisi, kiukweli hata mimi ananikera watu weusi siyo watoaji sana wa charity kuliko wazungu! Akiendelea hivyo one day atakuwa kama Tyson alikuwa na kila kitu baadaye akawa just another broke black sportsman.
Ila Meiweza kazid bro. Anayoyafanya ni ulimbukeniKwani KOSA LAKE NN?tuache WIVU...na sisi tupost NDOO ZETU Za maji,,,mbn akina CHIBU wanapost vijisent vya MADAFU mitandaoni na ,,mpo KIMYA?GET HATE or INSPIRE.... mambo kama hayo ndy yanapaswa yakupe HAMASA NA HASIRA ZA MAISHA,,,tutafute pesa wakuu,,,kama ni KUJIONA MATAWI YA JUU,,kila MTU humu ana jiona matawi kwa UPANDE WAKE...wangapi humu mkiwa kwenye VIGARI vyenu MNARUSHIA watu MATOPE na maji machafu wakati wa mvua bila kujali,,,?wangapi humu mnajiona nyie ndil nyie hakuna mwingine? Kila MTU anatamba kwa style YAKE,,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuwa KINACHOFANYIKA ni kwamba hawa watu wanakuwa na BIFU ZAO,,,mfano 50 CENTS ,,ana BIFU na jamaa muda tu,,,na anafanya mambo KUTAMBIA WENZAKE,,,,sasa mtu anatamba ,,,anaonyesha Mali zake,,,,anaonyesha PESA ZAKE,,,sisi tuumizwe na nn?wangapi humu tunapost MAGARI YETU STATUS ZA WHTSAP? Kila MTU anatamba kwa style YAKE,,,WAMAREKANI WEUSI wao KUTAMBA,,KURINGA,,KUJIONA WAO ZAIDI ndy JADI YAO.....huyo jamaa alishawahi KUMWAMBIYA 50 CENTS kwamba wewe UTAJIRI wako ni 18 MILIONS DOLLARS,,SAA yangu hii niliyovaa thamani YAKE ni 20 MILIONS DOLLARS,,, kwhyo wewe hupaswi kufanya BIFU NA MM,,wewe Fanya BIFU NA SAA YANGU....kwhyo huyo kuna watu anawatambia MKUU,,wala sio wewe,,,wala Mimi....Ila Meiweza kazid bro. Anayoyafanya ni ulimbukeni
Lakini wao WAKIPOST VIGARI VYAO KOKO,,wanaona POA,,,waache WIVU...Huyu jamaa anaongoza kuchukiwa humu Jf,
Na hiyo ndio inaonesha sura halisi ya muafrika, CHUKI, unaanzaje kuchukia mafanikio ya mwenzio hadi umuombee afilisike? angekua mzungu ungesikia "aah hao ndivyo walivyo"
GET ANGRY OR GET INSPIRED.
'The World will be a better place if people will worry about their own life.'