Jumlisha
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,239
- 2,765
Habarin wa JF natumaini mko powah kabisa
Huyu fundi simu amenishangaza sana mpaka nimeona nilete uzi huu kwa wale wahanga wa simu mbovu mnao shinda kwa mafundi iko hivi mimi nina jamaa yangu fundi simu wa hapa town maeneo flani hivi sasa huwa nakuja hapa mara kwa mara kupiga story na mambo mengine.
Nimekaa hapa kama dk 30 hivi akaja mama mtu mzima age 38+ kaleta simu yake imezima haipeleki chaji sasa fundi akamwambia basi ngoja niishughulikie baada ya nusu saa uje uchukue ukiangalia ofisi yenyewe sehemu ya kukaa mteja aseme asubiri hamna so lazima aende arudi basi kama baada ya dk 10 iv simu ikawaka fresh ndio jamaa kunishtua oyah plus njoo uone vitu hivi dah jamaa akaanza kunionesha video za utupu ambazo kazikuta kwenye trash ya google photo, watu wengi watumiaji wa simu wanafutaga video kwa mazoea kumbe video zinaeenda trash na kule zinajifuta baada ya siku 60 kwa google photo kama sijakosea.
Baada ya kunionesha video na picha jamaa yangu akahamia kusoma message aisee hapa nikabaki hoi sasa jamaa mpaka message nikawaza na mimi simu yangu ikiharibika itakuaje na sina tabia ya kufuta message kabisa na kwa huyu jamaa yangu inaonekana ni tabia yake maana kanisimulia mambo aliyoyaona kwenye simu ya mzee fulani ninae mfahamu aliyeenda kurekebishiwa simu yake.
Niwashauri tu kama unatengeneza simu simamia simu yako ikamilike, hizo tabia za kumuamini fundi itawagharimu, fundi haaminiki.
Ikiwezekana simu ikiharibika weka ndani nunua simu nyingine