Huyu Godfather wa videos anawaibia tu wasanii wa bongo

mimikaye

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
88
Reaction score
48
Huyu producer wa Godfather kashagundua kuwa watanzania wana shobo sana na sio creativity a.k.a ubunifu ndo unawapeleka South Africa. videos ziko kwenye quality ya kimataifa ndio hilo halina ubishi na wasanii wetu wamesogea hatua mbele.

Swali ni kwanini video hazilingani na kinachoimbwa? Mfano 'Mwana' ya Ali Kiba ni kuhusu kijana wa kike au kiume ambaye ameharibikiwa baada ya kuja mjini. Basi wangetoka nje ya hizo studio na waende nje Soweto or wachukue vipande vya uswahilini jamaa afanye utundu kutokana na msg ya nyimbo.

Sasa Ali kaimba mwanzo mwisho akiwa studio Dance moves ziko poa kila kitu on point but Kutokana na makosa yaliopita nilitegemea Kuona msg ikioneshwa kwa video. Huyu mtu ananalipwa pesa nyingi sio mbaya kumwambia nini unataka kama msanii na kufanya research ya locations na theme before kushoot video.

Naomba iwe clear, am not team A or B, am a music fan!
 
Dalali tu huyu hana kampuni wala vifaa yeye ni director ukimfuata anakupa gharama zake kisha anatafuta watu wa make up,camera,security, dancer etc
 
Hahahahaaa.. Hata video za ogopa hazilingani..ni fungu lako tu.

Kwani wasanii wanaenda kwake bila script? Yani director anatunga script hapo hapo? Hahahaaa.
 
Sipata kuona video bora kama hii ya Ali Kiba...
Jamaa kaitendea haki video yake

Saana! !! Nashangaa kuona baadhi ya wadau wanablame kuwa haina vipande vinavyoonyesha huyo mwana ..
Huu ni ushamba wa kukariri tu. Safi sana kiba ..one step ahead!!
 
Saana! !! Nashangaa kuona baadhi ya wadau wanablame kuwa haina vipande vinavyoonyesha huyo mwana ..
Huu ni ushamba wa kukariri tu. Safi sana kiba ..one step ahead!!

hamna anayekalili..sasa kama umeeenda ku shoot video ya gharama kama ile
na ukapanda ndege na entourage yani wapamba kibao kweli kabisa video yuko kwenye mijengo na
kucheza kwa sana..sikatai kiba kavunja sana kwenye kucheza..sauti bila upinzani
audio in short iko on top..tatizo ujumbe wa nyimbo na video ni kama usiku na giza..
haviendani..sasa kama ni hivi si bora tuwekeze nyumbani...kuna tofauti gani unaenda nje then unashindwa kuwakilisha kazi zako kwenye video???sawa kacheza video iko juu kwa ubora ...where is the whole idea ya mwana???
hamna!huu ndo ukweli
 
Me nimeipenda ila kawaida ya watu kusema
 
bonge ya video, hapa mimi na my wife tumejifungia tunajifuza kuicheza mwana style
 
Mimi hapa hadi kiuno kimetenguka trying to immitate Dance la Mwana!!Haters are like 'woow',this video is a booomb!!
 
Acheni uvivu. .hamna aliye Diss video or chereography ya mwana. .Tatizo mwana msgs wasn't potrayed Kwa visual. .sawa kiba nyimbo nzuri audio na kucheza. .
Tatizo msg wasn't not visualised Kwa KICHUPA
 
Acheni uvivu. .hamna aliye Diss video or chereography ya mwana. .Tatizo mwana msgs wasn't potrayed Kwa visual. .sawa kiba nyimbo nzuri audio na kucheza. .
Tatizo msg wasn't not visualised Kwa KICHUPA

Kama vitendo vinavyoimbwa vingeonesha video haiwez kuvuma kimataifa..
 
Sijui sijui !ninachoweza sema ni kuwa video ni nzuri!sijui hao waliotaka enactiment ya theme nzima ya wimbo ila kwa mimi sauti ya malalamiko ya Ali imetosha kabisa kuwasilisha hisia ya winmbo huu!oops my feet aches trying to dance in tiptoe as KIBA!
 
Mwana dance ndo habari ya mujini nkiuona huu wimbo dance yake inataka ifananie na ule wimbo wa new flamee!!
 
eti wanasema sio lazima mwana aonekane kwenye video eti, ukihoji kwanini unajibiwa acha kukariri, so inabidi tu tukubaline na style mpya ya kiba, audio story nyingine video story nyingine. kazi kwako mtazamaji
 
Sipata kuona video bora kama hii ya Ali Kiba...
Jamaa kaitendea haki video yake

una matatizo wewe..video ile haieleweki!.. Kiba anamuimbia nani pale kwenye kioo wakati anajiona yeye mwenyewe? au mwana ndio ali kiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…