Soka la tz limepandaYaani mchezaji wa kameruni anakuja kucheza mpira wa "kulipwa" Tz??
Nacheka kwa dharaaaaaaaauuuuuu kama mzee majuto!
Kheee kheeee kheeeeeeee!
"Gemu" za ukweli hupigwa mida hiyo!!Duh!lazima utakua ulizaliwa usiku wa manane wewe,kwi!kwi!kwi!
Ila wa Ghana kuja kucheza Simba sio kituko.... Manina walahiYaani mchezaji wa kameruni anakuja kucheza mpira wa "kulipwa" Tz??
Nacheka kwa dharaaaaaaaauuuuuu kama mzee majuto!
Kheee kheeee kheeeeeeee!
Kapteni wa cameruni anakuja chezea ndala, ebu fikicha akili kidogo!!Ila wa Ghana kuja kucheza Simba sio kituko.... Manina walahi
Ndio uache kukalili.... Kwani unavyoona kwenye picha na kitambaa cha ukapteni ni nini labda Hata kwa mechi moja tayari ameshakuwa nahodha shubaaaamitKapteni wa cameruni anakuja chezea ndala, ebu fikicha akili kidogo!!
Wanaocheza Timu yao ya Taifa wanacheza vitimu vidogo Ulaya..itakuwa huyuYaani mchezaji wa kameruni anakuja kucheza mpira wa "kulipwa" Tz??