Tetesi: Huyu hapa anayedaiwa kumuigiza "Wema kwenye Voice Note na Mbowe"

Status
Not open for further replies.
Inaonekana huyu aliewahi kuwa miss Tanzania bado anautesa ule upande aliotoka baada ya kumchafua kwenye ngada..... Tz ya matukio wacha tuchange hela ya bundle maana ndio faraja pekee iliyobaki kuzugia ugumu WA maisha.
 
Yaani siwezi na sitaki hata kusikiliza huo upuuzi....watu wote wangekuwa na akili chafu kama yangu tungekuwa tunarusha setelite ya sita angani kuliko kukaana kupumbwazwa na wanasiasa
 

Yaan umemaliza kila kitu Mkuu[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Wema amekanusha wapi?
Tutaaminije wema ndio aliyekanusha na sio huyo aliemuiga sauti
Ingekua video hapo sawa
 
Ile ya mbunge wa viti maalum aliempa mimba vip? Nayo imeigizwa?!
ile safari ya Dubai kwa yule mbunge je nayo iliigizwa..
muwe mnaona hata aibu sometym.
 
Tatizo mnatumia nguvu kubwa sana kukanusha wakati kati yao wawili hakuna aliekanusha, kwani mwenyekiti si mwanaume? ? Siku zote anapopiga mzigo mnakuwepo? Achane mwenyekiti ajipigie mzigo maisha menyewe mfupi haya.
Halafu mambo ya kujifungia si busara kupiga mdomo barabarani
 
Kazi aliyotumwa Wema anakwemda kuimaliza kwa asilimia 100
 

INASEMEKANA ALIYEIGIZA SAUTI YA WEMA NDO HUYU RAFIKI YAKE MPOKI

Voice note ni ya Wema, jamani mnashangani mbona chair (Mbowe) ndiyo zake mnataka ushahidi wa kumkuta naye ili iweje sasa?
 
Akizuliwa mtu wa ccm akanushe mwenyewe ila akizuliwa wa chama pendwa wapambe ruksa kumkanushia.......yelewiiiiiiii
 

Lumumba tafuten Lingineeee.... Toka lin simu ikaanza kurekodi kabla hata ya kupokelewa?! [emoji38]
 
Inaonekana huyu aliewahi kuwa miss Tanzania bado anautesa ule upande aliotoka baada ya kumchafua kwenye ngada..... Tz ya matukio wacha tuchange hela ya bundle maana ndio faraja pekee iliyobaki kuzugia ugumu WA maisha.
Wanachochanganyikiwa ni kwamba Wema ana Fan Base kubwa sanaaaa kupita msaniii yyte wa kike Tz.
 
Ha ha ha haaaaaaaaaa

Sie tumesikia tumeburudika na kujua kinachojiri.

Mengine tungeni hadi mchoke, au wafungulieni kesi wakajibu mahakani tuone.

Mange kawaambieni team Lumumba hiyo voice notemkapigie puli ,sisi tumeipuuza
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…