GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ile ya mbunge wa viti maalum aliempa mimba vip? Nayo imeigizwa?!
ile safari ya Dubai kwa yule mbunge je nayo iliigizwa..
muwe mnaona hata aibu sometym.
Nasikia atakuwa kwenye redio leo kukanusha.
Kawashtaki hao mnaodai polisi wapelekwe mahakamani tuyasikie basi.
Kuna tofauti mkuu. Magu ni president wakati Mbowe ni mpiga madili.
Hata km ni wema kwan hao wawili kuwa wapenzi ni tatizo??? Je watakuwa wamevunja ibara gan ya katiba ya JMT 1977.Acheni kupotosha..!! Yule ni wema original. Tunajua nyie ni Mabingwa wa kusafisha lakini hapo hamna jinsi yule ni wema original na Yule ni Mbowe original. Hakuna asiyefanya yale. Kila mtu anafanya Kwa namna moja au nyingine lakin ikitoka hadharan lazima mhusika atoke hadharan kuomba msamaha na kuwajibika Kwa matendo yake.
Hakuna aliemtuma kufanya vile. Kuna Wanawake Wengi wazuri kuliko Wema na wastaarab kuliko wema ambao wangemlindia heshima yake lakini yeye alichagua kwenda Kwa wema so lazima awajibike Kwa matokeo ya matendo yake.
....Kusema tuu acheni kupotosha does not mean wewe uko correct, lete proof kwamba wewe ni sahihi na si mpotoshaji like others.Acheni kupotosha..!! Yule ni wema original. Tunajua nyie ni Mabingwa wa kusafisha lakini hapo hamna jinsi yule ni wema original na Yule ni Mbowe original. Hakuna asiyefanya yale. Kila mtu anafanya Kwa namna moja au nyingine lakin ikitoka hadharan lazima mhusika atoke hadharan kuomba msamaha na kuwajibika Kwa matendo yake.
Hakuna aliemtuma kufanya vile. Kuna Wanawake Wengi wazuri kuliko Wema na wastaarab kuliko wema ambao wangemlindia heshima yake lakini yeye alichagua kwenda Kwa wema so lazima awajibike Kwa matokeo ya matendo yake.
Kwani unataka kuolewa na richeameni!?Li chairman lako ni lizinzi, yaani lina toka nje ya ndoa, lingekuwa arabuni lingepigwa mawe mpaka life!
Hivi unaweza kurekodi sauti ya simu kabla ya kupokea? Yaan unaanza kurekodi kabla haijaita, inaanza kuita na kisha unapokea? Halafu kwa jinsi inavyosikika ni kwamba Wema ndo kairekodi!! Je ni Kweli anaweza kujifanyia hivyo??Acheni kupotosha..!! Yule ni wema original. Tunajua nyie ni Mabingwa wa kusafisha lakini hapo hamna jinsi yule ni wema original na Yule ni Mbowe original. Hakuna asiyefanya yale. Kila mtu anafanya Kwa namna moja au nyingine lakin ikitoka hadharan lazima mhusika atoke hadharan kuomba msamaha na kuwajibika Kwa matendo yake.