Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgunda na mwenzake Matola wamegeuzwa kuwa spare tyres. Yaani kila msimu unapoanza, wanaajiri kocha mpya! Halafu kabla ya huo msimu kumalizika, wanamtimua huyo kocha na timu kukabidhiwa kwa Mgunda na Matola.Sio mgunda tena!?kazi bado ipo
Unapenda Mgunda awe kocha ili Simba ifanye vizuri kuliko timu yako ya Yanga?😳Mgunda na mwenzake Matola wamegeuzwa kuwa spare tyres. Yaani kila msimu unapoanza, wanaajiri kocha mpya! Halafu kabla ya huo msimu kumalizika, wanamtimua huyo kocha na timu kukabidhiwa kwa Mgunda na Matola.
Kwa hali hii Yanga ataendelea kiwa Bingwa kwa miaka mingi sana.
Mgunda ana kazi yake...kocha wa timu ya wanawake acheni upopoma...Mgunda na mwenzake Matola wamegeuzwa kuwa spare tyres. Yaani kila msimu unapoanza, wanaajiri kocha mpya! Halafu kabla ya huo msimu kumalizika, wanamtimua huyo kocha na timu kukabidhiwa kwa Mgunda na Matola.
Kwa hali hii Yanga ataendelea kiwa Bingwa kwa miaka mingi sana.
Kwa kauli hii, ni ushahidi tosha Yanga ni Bingwa tena msimu ujao.Mgunda ana kazi yake...kocha wa timu ya wanawake acheni upopoma...
Narudia tatizo la simba siyo kocha tatizo la msingi la simba ni umbumbu wa wanachama na viongoziSio mgunda tena!?kazi bado ipo
Spare tyre kitu gani ww mzee? Yani ashindwe kuitumikia club yake kisa mtamuita spare? Yy ni kocha mkuu wa Simba Queens...Kwa kauli hii, ni ushahidi tosha Yanga ni Bingwa tena msimu ujao.
Maana kuna mashabiki wenzako wanaamini Mgunda ana sifa ya kukabidhiwa timu na kuifikisha katika kilele cha mafanikio. Ila nyinyi mnamgeuza kuwa spare tyre!
Una uhakika siwezi kuwa mimi ndo nampa hizo taarifa?Unathibitisha kutoka kwa Micky Jr eti?