Tetesi: Huyu hapa kocha mpya wa Simba SC

Unapenda Mgunda awe kocha ili Simba ifanye vizuri kuliko timu yako ya Yanga?😳
 
Mgunda ana kazi yake...kocha wa timu ya wanawake acheni upopoma...
 
Mgunda ana kazi yake...kocha wa timu ya wanawake acheni upopoma...
Kwa kauli hii, ni ushahidi tosha Yanga ni Bingwa tena msimu ujao.

Maana kuna mashabiki wenzako wanaamini Mgunda ana sifa ya kukabidhiwa timu na kuifikisha katika kilele cha mafanikio. Ila nyinyi mnamgeuza kuwa spare tyre!
 
Spare tyre kitu gani ww mzee? Yani ashindwe kuitumikia club yake kisa mtamuita spare? Yy ni kocha mkuu wa Simba Queens...
 
Huyu coach ni hatari asee, naskia ukozingua anaingia yeye kukiwasha.
 
Attachments

  • IMG-20240711-WA0046.jpg
    167.6 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…