Huyu hapa mpinzani wa Simba Queens nusu fainali

RayropeX

Member
Joined
May 23, 2013
Posts
9
Reaction score
15
Wababe watatu hawa hapa, mmoja akisubiriwa na SImba Queens nusu fainali.

[emoji417]Mamelodi Sundowns [emoji1221]
[emoji417]TP Mazembe [emoji1078]
[emoji417]Bayelsa Queens [emoji1184]

[emoji405]MSIMAMO KUNDI B

[emoji2389][emoji616]Sundowns.[emoji1221] 6pts
[emoji2390][emoji616]Bayelsa. [emoji1184] 3pts
[emoji2391][emoji616]Mazembe.[emoji1078] 3pts

[emoji2783]RATIBA YA LEO KUNDI B

[emoji778]️TP Mazembe [emoji1078]x[emoji1221] Mamelodi Sundowns 4:00 usiku.
[emoji778]️Bayelsa Queens [emoji1184]x[emoji1093]Wadi Degla 4:00 usiku.

[emoji359]Ili Sundowns akutane na SIMBA Queens ni lazima amfunge Mazembe.

[emoji359]Ili Mazembe akutane na SIMBA Queens ni lazima amfunge Sundowns GOLI 7 Bila.

[emoji359]Ili Bayelsa Queens akutane na SIMBA Queens ni lazima amfunge Wadi Degla GOLI 7 Bila na Sundowns afungwe na Mazembe.

[emoji457]Hivo Basi Mimi kwa hesabu nyepesi za ki mpira naona hapa tutakutana na Mamelodi Sundowns![emoji16]

 
Bayelsa akimfunga Wadi degla 7-0 na Mazembe akamfunga Mamelod bado itakua ngumu kujua kati kati ya Bayelsa na Mazembe nani anapita sababu pia itategemea Mazembe atamfunga ngapi Mmelodi
 
Niko nacheki game ya Mazembe na Mamelod aisee niwe tu mkweli tu, Simba uwezo wa kumfunga Mamelod haupo

Vile hawa wadada wanacheza ni kama wanaume vile, wako makini sana kuanzia nyuma hadi mbele, half time na Mazembe ashakula 2 saafi

Wanatumia vizuri nafasi wanazopata tofauti na Simba ambao ili apate goli 1 inabidi apate nafasi 5, wachezaji wa Simba bado wana mapepe sana wakiwa na mpira

Ukiwatazama Mamelod ndio utajua kwanini ni mabingwa watetezi ni wazi kuwa hawakubahatisha, Kwa msimu huu acha Simba wautimie kuzoea mashindano

Kwa Simba kufika hatua ya nusu fainali Kwa team inayoshiriki mara ya Kwanza haya mashindano sio mbaya ni hatua nzuri kwakweli

Anyway, mpira waga unadunda
 
Mamelodi wazuri kuanzia kati kwenda mbele kama simba wataenda na mpango kazi na kutumia nafasi watashinda mechi kwani mamelodi beki zake zilikua zinapitika krahisi sana mazembe tu hawakua makini

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Mamelodi wazuri kuanzia kati kwenda mbele kama simba wataenda na mpango kazi na kutumia nafasi watashinda mechi kwani mamelodi beki zake zilikua zinapitika krahisi sana mazembe tu hawakua makini

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Nawe umeona kama mimi. Simba wakijipanga vizuri watawatoa Mamelodi vizuri tu, timu tishio ni Bayelisa kutoka Nigeria.
 
Mamelodi wanafungika..jana niliangalia game yao na mazembe,simba wakienda na game plan nzuri wanawafunga..
 
Halafu hata rangi ya jezi zao inavutia aisee! Waache tu washinde kwa kweli.
 
Mamelodi wanafungika..jana niliangalia game yao na mazembe,simba wakienda na game plan nzuri wanawafunga..

Hao Mamelody wataponzwa na rangi ya jezi zao

Simba tutawapiga viwili vya adabu
 
Mamelodi wanaupiga mwingi, muhimu kujipanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…