Huyu hapa Mr Blue, arudi tena na wimbo mpya 'Mapenzi

huyu dogo angebana tu pua, hii style za hphp kwa mtazamo wangu haziwezi! awaachie akina jcb, fid q, roma na wengine!
 
Acha ushamba wewe,kwa mfano leo hii utuambie SOULJA BOY anafanya hphop haiwez,amuachie JAY Z.!???

Blue hafany hiphop,anafanya Rap ya kipekeyake..
Ndo maana mleta mada kasema "MUANZILISHI WA SWAGG FLOW".!!

Ebu chukua sauti ya FIDQ iweke kwenye wimbo wa Tabasamu uone kama ungenoga..
 
come again? kwamba blue anafanya mziki wa peke yake? kwenye category unaitwaje?
 
Acha ushamba wewe,kwa mfano leo hii utuambie SOULJA BOY anafanya hphop haiwez,amuachie JAY Z.!???

Blue hafany hiphop,anafanya Rap ya kipekeyake..
Ndo maana mleta mada kasema "MUANZILISHI WA SWAGG FLOW".!!

Ebu chukua sauti ya FIDQ iweke kwenye wimbo wa Tabasamu uone kama ungenoga..

Mini tofauti ya Rap na Hip hop?
 
Dogo ni LOSSO wa bongo,amedumu kwenye since way back na kawa inspire wengi mnaosema wanahip hop,shida ni kua music industry ya bongo imeshikiliwa na watu fulani na wamekua na influence ya kukuza maboya,lkn dogo amejitahidi kupita viunga vyote throughtout the years na anafanya hip hop inayokwenda na wakati,mbona hamshangai TI,LOSSO,SNOOP,DIDDY,TALIB KWELI,50 au KENDRICK wakati wapo akina KRS ONE,THE GAME,wote wameshika bendera ya HIP HOP.
 
Back
Top Bottom