Huyu hapa mrembo mpya wa msanii Diamond Platinumz

eastmea

Senior Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
159
Reaction score
133
Mrembo kutoka Rwanda anayejulikana kwa jina la shaddyboo ambaye anajihusisha na mambo ya urembo pia ni video vixen ndiye mrembo mpya wa msanii diamond ambaye anaziba pengo la wazazi wenzie na diamond (hamissa na zari)
Weka comment yako kumtakia mahusiano mema simba
Je unahisi ataweza kumtuliza diamond?? Au nayeye ataishia kuroga ili kumtuliza diamond
 
Viungo vyenyewe wamepewa bure, havina kodi ya nini kunyimana!!? Waendelee kuchunguliana kwa bidii zote, tunaishi mara moja tu!!
 
Sijui kwanini wabongo wanamtukana huyu binti, wanalitaka rungu la chibu???!!!
 
Huyu demu mond ashatia kitambo toka enzi za my number one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…