Ukiwa na hela halafu maarufu, wala hutumii nguvu nyingi kupata vipapatio. Kipindi cha baridi kwako ni mtelezo tu.
Tatizo linakuja kwetu makapuku, kipindi cha baridi misuli imesimama halafu unahitaji mubebe aje utaambiwa kwanza tuma nauli. Ukituma unaambiwa mama amemzuia kutoka.
Hapo ndipo unapowaza kuchukua fomu CHAWAPUTA.