Huyu hapa mtoto wa Mshana jr

View attachment 713729 nimeweka jukwaa la jokes sasa niye mods futeni tena

Jamaniii.... mtoto ana afya nzuriii kwanini wanamvesha hayo makamba kamba??!

Ila kama wana uwezo wa kununua pampers, wangempeleka hospitali kama ni ugonjwa na kama ni kinga wangempeleka kwa viongozi wa dini aombewe.

Muite mjomba wa huyo mtoto amkanyage kitovu na kisigino ili kirudi ndani.
 
Hii ya kukanyagwa kitovu na mjomba ni serious au masihara?
 
Wewe si umeona mtoto kapendeza kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…