Huyu Hapa Ndiye Mwanamke Mrembo Zaidi Tanzania!

Huyu Hapa Ndiye Mwanamke Mrembo Zaidi Tanzania!

TRIPLE H

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
651
Reaction score
349
Wadau,
Katika hali ya kawaida,tumezoea kusikia na hata kuona mtu fulani akitajwa kuwa bora zaidi ktk jambo fulani.Ni kawaida kusikia fulani ni bora zaidi,mfano ktk soka,muziki,riadha,masomo,uchumi nk.
Sasa mi nataka kujua mtazamo wa kila mdau anayesoma uzi huu kuhusu mwanamke wa kitanzania ambaye ni mrembo(kwa mtazamo binafsi) na ni mchapakazi mahiri kiasi kwamba anafaa kuwa mfano wa kuigwa ktk ulimwengu wa wanawake.Hii ni kwa sababu washkaji wengi huku maskani wamekuwa na malumbano sana kuhusu suala hili.
Ok.Atakayeibuka mshindi tutamtia moyo kwa kupromote `mambo yake' ili awe supa zaidi na huo utakuwa mwisho wa mjadala huu hapa maskani kwetu.
Mdau,changia kwa kadiri ya MTAZAMO wako!
 
Kha,mi nikadhani ni picha nimuone huyo bibie.....
 
Mi nilidhania ushatuwekeaa picha maana ushasema huyu hapaa looo
 
Hahahaa nkajua pic nlivoona maelezo hata sijayamaliza kusoma
 
Kwa mujibu wa babu,bibi yangu ndo mrembo kuliko wote hata hawa wasasa wanasubiri.
 
Back
Top Bottom