simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Huyu jamaa, Eric Omondi tayari kafanya naye kazi, anagalia hii video\Wanafanana kidogo, lkn sio kiviiile, jamaa anaonekana ana sura ya duara, wakati platinum ana sura ndefu ndefu kdg.
haha ata alikiba walisema wa kwaoWakenya hawachelewi kusema Diamond ni mkenya, maana hata Mlima Kilimanjaro walijaribu kuuhamishia kwao
Siyo kwamba wanasema mlima Kili' ni wa kwao but they know the history..., inasemekana kuwa kabla hata ya ujio wa wazungu( wakoloni) mlima Kilimanjaro ulikuwa ni sehemu ya Kenya lakn Mombasa ilikuwa ni sehem ya Tanganyika,kwenye kpnd cha Ukoloni (During colonial era) Mombasa ilikuwa iliwekwa kwenye upande wa Kenya Kijiografia na kiutawala wakati Mlima Kilimanjaro uliwekwa Tanganyika kiutawala na hata kijiografiaWakenya hawachelewi kusema Diamond ni mkenya, maana hata Mlima Kilimanjaro walijaribu kuuhamishia kwao
Kwa nn usiseme tu midomo inafanana!"concentration ya mfanano imenasa kwenye ukubwa wa mdomo
Mkuu naona umenichanganya ,Kulikuwa na nchi inayoitwa Kenya ama Tanganyika kabla ya wakoloni kuja?Siyo kwamba wanasema mlima Kili' ni wa kwao but they know the history..., inasemekana kuwa kabla hata ya ujio wa wazungu( wakoloni) mlima Kilimanjaro ulikuwa ni sehemu ya Kenya lakn Mombasa ilikuwa ni sehem ya Tanganyika,kwenye kpnd cha Ukoloni (During colonial era) Mombasa ilikuwa iliwekwa kwenye upande wa Kenya Kijiografia na kiutawala wakati Mlima Kilimanjaro uliwekwa Tanganyika kiutawala na hata kijiografia
Soon after Independence,watawala wa kipnd hicho kwa maana ya MWLM Jk na Baba wa Taifa LA Kenya wakakubaliana kuwa "ili kuepusha migogoro ni vema wakenya wakachukua Mombasa na Watanganyika wakachukua Mlima Kilimanjaro"
Lkn wakenya ni wajanja sana baada ya miaka mingi wakaweka kwenye maandishi kuwa mlima Kilimanjaro ni Mali yao na jambo hili ipo siku litaleta kelele sana..,tunzeni maandiahi haya!
kumbe ndo huyu duhHuyu jamaa, Eric Omondi tayari kafanya naye kazi, anagalia hii video\
Tanganyika ilipata uhuru mwaka gani na Kenya ilipata uhuru mwaka gani? Hayo makubaliano ya kuachiana mt.Kilimanjaro na mombasa port yalifikiwa vipi ikiwa kila nchi ilipata uhuru kwa wakati wake?Siyo kwamba wanasema mlima Kili' ni wa kwao but they know the history..., inasemekana kuwa kabla hata ya ujio wa wazungu( wakoloni) mlima Kilimanjaro ulikuwa ni sehemu ya Kenya lakn Mombasa ilikuwa ni sehem ya Tanganyika,kwenye kpnd cha Ukoloni (During colonial era) Mombasa ilikuwa iliwekwa kwenye upande wa Kenya Kijiografia na kiutawala wakati Mlima Kilimanjaro uliwekwa Tanganyika kiutawala na hata kijiografia
Soon after Independence,watawala wa kipnd hicho kwa maana ya MWLM Jk na Baba wa Taifa LA Kenya wakakubaliana kuwa "ili kuepusha migogoro ni vema wakenya wakachukua Mombasa na Watanganyika wakachukua Mlima Kilimanjaro"
Lkn wakenya ni wajanja sana baada ya miaka mingi wakaweka kwenye maandishi kuwa mlima Kilimanjaro ni Mali yao na jambo hili ipo siku litaleta kelele sana..,tunzeni maandiahi haya!
Acha story za vijiweni mkuu.Siyo kwamba wanasema mlima Kili' ni wa kwao but they know the history..., inasemekana kuwa kabla hata ya ujio wa wazungu( wakoloni) mlima Kilimanjaro ulikuwa ni sehemu ya Kenya lakn Mombasa ilikuwa ni sehem ya Tanganyika,kwenye kpnd cha Ukoloni (During colonial era) Mombasa ilikuwa iliwekwa kwenye upande wa Kenya Kijiografia na kiutawala wakati Mlima Kilimanjaro uliwekwa Tanganyika kiutawala na hata kijiografia
Soon after Independence,watawala wa kipnd hicho kwa maana ya MWLM Jk na Baba wa Taifa LA Kenya wakakubaliana kuwa "ili kuepusha migogoro ni vema wakenya wakachukua Mombasa na Watanganyika wakachukua Mlima Kilimanjaro"
Lkn wakenya ni wajanja sana baada ya miaka mingi wakaweka kwenye maandishi kuwa mlima Kilimanjaro ni Mali yao na jambo hili ipo siku litaleta kelele sana..,tunzeni maandiahi haya!
Hakuna kitu hapoView attachment 678064 View attachment 678065
There is a young man from Mtwapa, Mombasa who has left many social media shocked by how much he resembles Diamond Platnumz.
The fella who is a bodaboda rider goes by the name of Patrick as revealed by a young lady who shared his photos online.
In her post, Diana Ray reveals that indeed Patrick looks like Dee’s twin and all he wants is to meet the singer in person. She wrote saying;
“Nimekutana na huyu boda guy somewhere in Mtwapa na nikaona amefanana sana na Diamond. Akaniambia most of the people there call him Diamond but his real name is Patrick anasema his BIGGEST wish is to meet his look alike in person.