Wachezaji wapya wa Yanga kutoka China.Hata sijaelewa! Kwanza hawa ni akina nani?
Jacky Pemba walimdaka kwa kutakatisha Pesa huko Uganda imekuaje karudi uraiani?!Huko kwenye Leo Tena ya Clouds Fm, bwana mmoja aitwaye Jack Pemba anasema Bwana Ivan alikuwa na msongo mkubwa wa mawazo yaliyosababishwa na kupokwa kwa mkewe ambaye alikuwa akimpenda sana. Amefafanua zaidi kuwa Ivan aliandika will kuwa mali zake ni kwa ajili ya watoto wake watatu, ila mama yao atakuwa "caretaker" wa mali hizo.
mchonganishi mkubwa huyoHuko kwenye Leo Tena ya Clouds Fm, bwana mmoja aitwaye Jack Pemba anasema Bwana Ivan alikuwa na msongo mkubwa wa mawazo yaliyosababishwa na kupokwa kwa mkewe ambaye alikuwa akimpenda sana. Amefafanua zaidi kuwa Ivan aliandika will kuwa mali zake ni kwa ajili ya watoto wake watatu, ila mama yao atakuwa "caretaker" wa mali hizo.
Hahaha... Mkuu jibu lake zuri sanaWachezaji wapya wa Yanga kutoka China.