Huyu Jamaa amenikuna Sana Na Huu Usemi

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,299
Mbuzi ni mbuzi! Hawezi kuwa Simba! By 20%!
 
Kakukuna sehem gani mkubwa....
 
ndo maana yake yani huyu bwana mdogo anashuka verse kinomanoma
 
Ni msanii mzuri namkubali!
 
Siyo lazima woote tuimbe,waweza piga marimba utasikika pia!
 
Hamna msanii ninaemkubali hapa zaidi ya huyu dogo.. He's a lyricist :majani7:
 
wasanii wengi naogopa kuwasifu kwan unaweza hona aibu baadae.lakini twenty pa asilimaile ni noma.namkubari.
 
kusema huwezi iweje u force kuimba , we piga gitaa utasikika pia - 20 pah!
 
Tunaoneana noma police kupelekana-
aluatani 20 pah.
 
na bado mtazidi kumkubali mana ndo kwanza yuko 20% cpati picha akifika 40%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…