Huyu jamaa anaitwa Saheed Adebayo Akinfenwa raia wa England

siasa ms

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2019
Posts
1,821
Reaction score
3,142
Huyu jamaa anaitwa Saheed Adebayo Akinfenwa raia wa England kwasasa anakipiga katika klabu ya Wycombe Wanderers inayoshiriki ligi daraja la kwanza Uingereza akicheza Kama striker

Kwasasa anamiaka 39 na alianza kucheza soka la kulipwa mwaka 2000 katika klabu ya Fk Atlantas ya Lithuania

Amepita kwenye Vilabu vingi tu Kama Swansea,
Afc Wimbledon,
Leyton Orient,
Gillingham,
Barry town,
Doncaster Rovers,
Torkuay Utd,
Northampton (najua wazee wa kubeti mnazijua hizi timu[emoji3][emoji3])

Msimu wa 2015/2016 akiwa Afc Wimbledon aliisaidia timu hiyo kuchukua ubingwa wa English league 2 ambapo ubingwa huo uliiwezesha timu hiyo kupanda daraja kutoka English League 2 to English league 1

Kitu kinachomtofautisha na wachezaji wengine ni ubonge alionao Yani hata
Adama Traore haon ndani [emoji3]

Huyu jamaa ndo mchezaji mwenye kilo nyingi kuliko wote duniani kwasasa

Ana 102 kg na urefu wa futi 6 na inch 1

Hata ukiwa mzito ilimradi uwe unajua tu.


 
ni England tu, unapokutana na mizigo kama hiyo kuwa nao ni wachezaji, Ni adimu kabisa kukuta mizigo kama hiyo Italy au Spain kunakochezwa soka la kikweli.
England hawaeleweki wanacheza Football au Rugby ndio mana unakutana na watu wa ajabu ajabu kabisa
 
uyu mbona juve anacheza
 
Raia wa uingereza, jeusi tiii, ubonge nyanya fwaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…