Huyu jamaa angekuwa Mbongo angefaa kuwa kabila gani?

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
A10BCAE5-F7A0-46C0-BA20-59E282D1990F.jpeg
 
Ngoja niibadili picha, niipeleke kwenye uhalaisa wake.

Huyo kiuhalisia ni katika kundi la wwanafunzi wa Kiislam waliokuwa hawapendezewi na kona Uislam unasambaratishwa na mashetani wa magahribi. Huyo ni Taliban wa Burkina Faso aliyekataa uonevu wa Waislam.

Ana mawasiliano wa karibu sana na intelijensia ya Putin na ni mmoja wa Wagner group.

Duniani tunahitaji vijana kama huyo kwa wingi, kupambana na Ushetani unaosambazwa na magharibi.
 
Lione na hili. Ndo maana mtume Muhammad hakutahiriwa
 
Back
Top Bottom