Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
LissuMasai.
Lione na hili. Ndo maana mtume Muhammad hakutahiriwaNgoja niibadili picha, niipeleke kwenye uhalaisa wake.
Huyo kiuhalisia ni katika kundi la wwanafunzi wa Kiislam waliokuwa hawapendezewi na kona Uislam unasambaratishwa na mashetani wa magahribi. Huyo ni Taliban wa Burkina Faso aliyekataa uonevu wa Waislam.
Ana mawasiliano wa karibu sana na intelijensia ya Putin na ni mmoja wa Wagner group.
Duniani tunahitaji vijana kama huyo kwa wingi, kupambana na Ushetani unaosambazwa na magharibi.