Huyu jamaa kazini au kamuingilia mkewe?

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,717
Reaction score
13,176
Niliulizwa hili swali nikakosa jibu naomba nanyi munisaidie. Kuna jamaa yuko Jo'burg akamuagiza mdogo wake amuolee mke na nduguye akamuolea,huyu jamaa akaamua kurudi Mafia kiss one(kisiwani) ili akamchukue mkewe na kwenda naye South,jamaa alipofika DIA akamuona msichana mrembo akamtongoza na wakaenda kuvunja amri ya 6 walipomaliza wakaagana na kila m2 kutimukia kwake, jamaa alipofika nyumbani ili amuone mke wake mwenyewe ,akamkuta yule msichana ndiye mke wake mwenyewe ambaye wamemùolea. Ktk dini ya kiislamu/kikristo. Je? Huyu jamaa kazini au kamuingilia mkewe.
 
Amezini,kumuingilia ni kama haikuwa ridhaa ya huyo mwanamke....lakini kwa ulivyoeleza ni kuwa walizini!
 
Wanandoa wamezini pamoja..kaazi kweli kweli!
 
Simulizi yako ina utata, ndio kwenye uislam mtu anaweza kumuwakilisha nduguye kwenye kufunga nikah, lakini kwa dunia hii yetu ya leo, basi hata picha ya huyo unayetaka kumua huna?

Yaani imepelekwa posa kwa mwanamke ambaye hata wajihi wake uhujui? Ajabu.
 
Ndugu inawezekana picha katumiwa lkn siku hiyo anaweza kujibadilisha na usimjue hata jina ukimuuliza anaweza akakudanganya. Je? Alizini au alimuingilia mkewe.
 
Kitendo cha kutokujua kama yule ni mkewe tayari amezini kwani fikra na mawazo yake yalikuwa juu ya mwanamke mwingine na si mke wa ndo so kwa ufupi jamaa amezini na huyo mwanamke amezini pia.
 
Ndugu inawezekana picha katumiwa lkn siku hiyo anaweza kujibadilisha na usimjue hata jina ukimuuliza anaweza akakudanganya. Je? Alizini au alimuingilia mkewe.
Waandikie Alhidaaya, nadhani wao ni watu wenye uelewa mkubwa sana, kuliko humu JF, au wewe unaonaje?
 
hii ya kuolea ndugu nayo mpya kwangu,mie kidogo nidhani hii story umeitunga!
 

khaaa! ...iwe wamezini au la, wote wawili wamechemsha vibaya sana!
Tuanzie kwanza;
  • wote wame cheat nje ya ndoa, kisha tuendelee kuhalalisha/kuharamisha hayo mengine.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…