Huyu Jamaa kumbe ana roho ya kwa nini namna hii?

Opera Min

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
890
Reaction score
658
Muda mwingine unaweza ukashangaa kwa nini nimeumbwa hivi,kumbe kuna makusudi ya dhati kabisa usiyoyajua ili kukupungizia spidi ya aidha ya roho nzuri au mbaya uliyonayo dhidi ya mwanadamu mwenzako.
 
Roho ya kwa nini hapo ipo wapi?

Au ni kwa sababu amesema wanaSimba na siyo waTanzania?


Cc: mahondaw
 
Chukulia kawaida tu! Utani huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…