Huyu jamaa miba ya nungunungu itamgharimu miaka 22 jela. Ila muua mamba shwari tu

Huyu jamaa miba ya nungunungu itamgharimu miaka 22 jela. Ila muua mamba shwari tu

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
1000006575.jpg
 
Mimi iko siku nimetoka Sitalike naelekea Sumbawanga nilipokuwa katikati kabla ya kufika Kibaoni nikasimama ili nikojoe nikamuona Nungunungu kaliwa kabakizwa Miba tu nikachukua ile Miba kama mitatu hivi nikawa naishangaa

Kumbe ningekamatwa ningefungwa miaka mingi kuliko hao waliotajwa kwenye ripoti ya CAG?😮
 
Mimi iko siku nimetoka Sitalike naelekea Sumbawanga nilipokuwa katikati kabla ya kufika Kibaoni nikasimama ili nikojoe nikamuona Nungunungu kaliwa kabakizwa Miba tu nikachukua ile Miba kama mitatu hivi nikawa naishangaa

Kumbe ningekamatwa ningefungwa miaka mingi kuliko hao waliotajwa kwenye ripoti ya CAG?
Katoe Sadaka ya Shukurani kwa Mungu wako….
 
Shukuru Samia ni rais wakati huu, la sivyo ungeishi kama huyo zimwi kwenye avatar yako.
Ni kweli kabisa hata mimi nampongeza kwa kazi kubwa ya kunya kwa bidii anayo fanya
 
Hizo rifle ukute ana vibali vyote .....Police tu wana nongwa
 
Back
Top Bottom