Huyu jamaa namkubali sana

Moja kati ya actor wangu ninayempenda kwenye masuala ya kipelelezi hasa ktk hii kazi ya "The blacklist" akiwa na yule mwamba black mmoja hivi sijui anaitwa nani? Kama msaidizi wake
Hisham Tawfiq a.k.a Dembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…