BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Pale alwatan wa insta unazuga hujui chochoteWatu wa Dar mna mambo mengi.
Mafuriko bado yanawasumbua lakini na habari za Mondi mna update zote 😒
Usingeleta huu uzi, nisingejua kitu
Acha uongoWatu wa Dar mna mambo mengi.
Mafuriko bado yanawasumbua lakini na habari za Mondi mna update zote 😒
Usingeleta huu uzi, nisingejua kitu
Kumbe na wewe uliuona mkuu [emoji23][emoji23]....mm ilibidi ni-zoomAtakaecomment kuhus miguu ya Sara anitag
Ila hujasema umeona nnKumbe na wewe uliuona mkuu [emoji23][emoji23]....mm ilibidi ni-zoom
Kule chini kuna alama nyingi nyeusi nyeusiIla hujasema umeona nn
Miguu ya Nini mkuu angalia mgongo huoAtakaecomment kuhus miguu ya Sara anitag
Ile ukiweka blue light unaslide fresh huoni kitu chochoteKule chini kuna alama nyingi nyeusi nyeusi
🤣🤣Mkuu Leo nimetubu dhambi zoteMiguu ya Nini mkuu angalia mgongo huo
Na umemaanisha kuziacha🤣🤣Mkuu Leo nimetubu dhambi zote
Huwezi acha dhambiNa umemaanisha kuziacha
Shauri yako 😂😂Pale alwatan wa insta unazuga hujui chochote
Nimekuelewa mduduShauri yako 😂😂
Wengine sisi sio wa Dar
Kijana mpeni maua yake katika historia huyu ndio kijana pekee ambaye Chadema waliungana kumshusha chini bad luck wao ndio wanaenda chiniAisee, hili neno GENIUS mnalikosea adabu sana.
Tafuteni neno lingine mtumie mnavyotaka. Kwa tukio kama hilo hukupaswa kumuita Genius.