Huyu jamaa ni Genius

Kwa muziki wa bongo Diamond platinum anajua kucheza na mindset za watu ona sasa Sarah wa Kamwambie anavyotrend behind the scenes unaweza kuta ni tukio la kusadikika ila tayari watu washakuwa brainwashed.
View attachment 2976167
Hapo kuna mawili either huyo sio Sarah wa huo wimbo wa β€œKamwambie” ametafuta tu random girl wakaingia deal au inawezekana pia kweli ni yeye lakini pia kampanga pia juu ya hilo tukio...Jaribu kuangalia sehemu aliyopo huyu Sarah, The way Diamond alivyomuita, Kipindi cha hugging utagundua tu kuna mchezo umefanywa..

Anyways Mjini Shule..Shoutout to Diamond platinumz.
 
Ndio asilimia 100.. aliyeolewa mwenye mume, mashemeji, mawifi na wakwe hawezi kuthubutu kuvaa hivyo


Inatagemea ktk hizo show za usiku wake za watu kuvaa hivyo kawaida Sana mkuu. Tembea uone.

Ndo maana kipindi naenda ktk starehe huwa sisogelei wanawake nausoma mchezo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…