Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Kwahii michano ya Roma mkatoliki kwenye hii Ngoma aliyoshirikishwa na izzo bizness ya Mr Xmas
Ni halali jamaa akimbilie marekani maana ni noma Kuna watu wamechanwa humo na hawaelew kama wamechanwa
Em cheki Hapa
Ni halali jamaa akimbilie marekani maana ni noma Kuna watu wamechanwa humo na hawaelew kama wamechanwa
Em cheki Hapa