Zombie S2KIZZY JF-Expert Member Joined Mar 15, 2021 Posts 826 Reaction score 1,622 Feb 17, 2023 #1 Kwahii michano ya Roma mkatoliki kwenye hii Ngoma aliyoshirikishwa na izzo bizness ya Mr Xmas Ni halali jamaa akimbilie marekani maana ni noma Kuna watu wamechanwa humo na hawaelew kama wamechanwa Em cheki Hapa
Kwahii michano ya Roma mkatoliki kwenye hii Ngoma aliyoshirikishwa na izzo bizness ya Mr Xmas Ni halali jamaa akimbilie marekani maana ni noma Kuna watu wamechanwa humo na hawaelew kama wamechanwa Em cheki Hapa
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 8,632 Reaction score 23,673 Feb 17, 2023 #2 Hii nyimbo kaachia lini? Nimeona tu kajichanganya baada ya kujiita Santa anajiita Mr Xmas
Zombie S2KIZZY JF-Expert Member Joined Mar 15, 2021 Posts 826 Reaction score 1,622 Feb 17, 2023 Thread starter #3 Gily said: Hii nyimbo kaachia lini? Nimeona tu kajichanganya baada ya kujiita Santa anajiita Mr Xmas Click to expand... Hii ina muda kidogo ni ya mwaka juzi December
Gily said: Hii nyimbo kaachia lini? Nimeona tu kajichanganya baada ya kujiita Santa anajiita Mr Xmas Click to expand... Hii ina muda kidogo ni ya mwaka juzi December
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 8,632 Reaction score 23,673 Feb 17, 2023 #4 Zombie 2kizzy said: Hii ina muda kidogo ni ya mwaka juzi December Click to expand... Kweli nimepitwa na mengi. Mpaka leo hajarudi bongo?
Zombie 2kizzy said: Hii ina muda kidogo ni ya mwaka juzi December Click to expand... Kweli nimepitwa na mengi. Mpaka leo hajarudi bongo?
Zombie S2KIZZY JF-Expert Member Joined Mar 15, 2021 Posts 826 Reaction score 1,622 Apr 24, 2023 Thread starter #6 Anaitwa roomaa