Huyu jamaa ni nani kwenye matangazo ya Pombe?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Kwenye Matangazo ya pombe mwishoni kuna sauti nzito ya njemba moja sijui ni nani anasemaga ...."Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako"....

Anazingua sana anawapa cha kusema wake zetu, siku ukiamua kitulia home bahati mbaya tangazo likatoke basi ikifika hiyo sehemu kama ni TV au Radio basi inaongezwa sauti hata kama uko bize ujumbe utauskia tu.

Kama Pombe ni hatari waache basi kutuuzia pambaf kabisa!!
 
Kila kitu ni hatari kwa afya !
Imagine hadi sukari ni hatari
Imagine hadi chumvi ni hatari
 
Kwenye Matangazo ya pombe mwishoni kuna sauti nzito ya njemba moja sijui ni nani anasemaga ...."Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako"....
Anazingua sana anawapa cha kusema wake zetu, siku ukiamua kitulia home bahati mbaya tangazo likatoke basi ikifika hiyo sehemu kama ni TV au Radio basi inaongezwa sauti hata kama uko bize ujumbe utauskia tu.
Kama Pombe ni hatari waache basi kutuuzia pambaf kabisa!!
Yule ni mimi ila sipendagi kujionesha
 
Namtafuta yule dada anayesema

"Hauna Salio la kutosha kupiga simu hii"
 
Kwenye Matangazo ya pombe mwishoni kuna sauti nzito ya njemba moja sijui ni nani anasemaga ...."Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako"....
Anazingua sana anawapa cha kusema wake zetu, siku ukiamua kitulia home bahati mbaya tangazo likatoke basi ikifika hiyo sehemu kama ni TV au Radio basi inaongezwa sauti hata kama uko bize ujumbe utauskia tu.
Kama Pombe ni hatari waache basi kutuuzia pambaf kabisa!!
Tangazo ni: "Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako"
Na si: "Kunywa pombe ni hatari kwa afya yako"
Kinywaji bana kina raha yake! Ukiwa na chupa yako ya Dompo pale beach, daaa!! raaaaha kwelikweli.
 
Pombe mzee tamu sana,aliyegundua hii kitu anastahili aende peponi bila masharti.
 
Back
Top Bottom