Huyu jamaa unahisi kapatwa na nini?

Huyu jamaa unahisi kapatwa na nini?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Kafumania
Kafumaniwa
Presha ya Mkopo wa benki
Furaha ya Kupata ajira

Kaibiwa
Katuma ela nauli afu hajafika
Kaibiwa ela ya kamati ya harusi

Au kafanyaje?

FB_IMG_1646949413727.jpg
 
Hii picha imetrend sana kwenye mitandao ya kijamii,kwani imekuaje matheee.
 
Kakutana na Kibatala mahakamani
 
Back
Top Bottom