mie huwa hata simuelewi ila nalazimika kusikiliza michezo EFMHabari waungwana,
Kuna jamaa mmoja anaitwa panju wapanjuani kiukweli mimi huwa ananikera sana kwa kitendo chake cha kubana sauti. Huku ni kuwadhalilisha wanaume kwa kubana sauti , tushazoea wanaobana sauti ni ke.
Wewe mwanajf unamuonaje huyu jamaa?
msikilize kwenye joto la asubuhmm pia simuelewi.....!! kuna jamaa walimleta alikua ana-act ni mzungu ..alikua anaitwa saa mbovu ...sijajua aliendA wapi tena....aisee alikua vizuri sana