Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Nilikuwa nimechil tuu ghafla Eatv wakaonesha video ya jamaa mmoja hivi.
Nikajiuliza hii ngoma ya nani mbona imetulia hivii??
Nikaja kucheki wimbo unaitwa sijakusahau '.
Jamaa mwenyewe mwenye hiyo ngoma Kumbe anaitwa Jimmy chansa.
Hiyo nyimbo toka jana narudia tuu kwenye playlist yangu hapa toka asubuhi mpka sasa!
Nikaja kuambiwa jamaa mwenyewe anafanya mziki kama Hobbie tuu..
Sasa kwa wanaomjua tafadhali mwagikeni hapa..
Nyimbo yenyewe nimeshindwa kuiweka hapa ila ni nzuri kiukweli sijui ni mpya au lah