Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
nilijua tuu.. juzkati hapa niliambiwa Mimi ni buibui Leo nimekuwa huyo jamaa!Lipia Tangazo
nilijua tuu.. juzkati hapa niliambiwa Mimi ni buibui Leo nimekuwa huyo jamaa!
Ila mtu akimuongelea mondi hamsemi alipie tangazo!
Kiukweli mkuu naona unataka tuu ugomvi, mabishano yasiyo na sababu!Si unashobokea sana watu. Bado tu Kuitwa James Delicious
Kiukweli mkuu naona unataka tuu ugomvi, mabishano yasiyo na sababu!
Asante sana.
Mbona umekazania sana hizo ishu za ma punga??au kina lokole ni wenzako??Nafikiri kesho utakuja na Mada inayosema hivi Juma lokole ni nani?
Mbona umekazania sana hizo ishu za ma punga??au kina lokole ni wenzako??
Kweli sio kila anayevaa koti ni Dokta!
Kumbe! Safi sana mkuu hicho ndo nilichouliza sredi na ifungwe sasa..nyimbo nzuri sana hiyoo..Ni ndugu yangu huyo kutokea kanda ya ziwa pande za Mwanza Mwanza kaanza hustling za muziki 2013 kabla ya kuhamia DSM na kuanza kuishi Sinza madukani kwenye hostel moja hivi.
Kashiriki sana Super nyota lakini hakuwahi kutoboa hiyo ngoma ya Sijakusahau inazaidi ya miaka minne toka itoke
Leo sitaki kutukana mtu wala kukejeli..Naona ndo unakoelekea bwana Mdogo
Leo sitaki kutukana mtu wala kukejeli..
Nimekupuuza mkuu
Ni ndugu yangu huyo kutokea kanda ya ziwa pande za Mwanza Mwanza kaanza hustling za muziki 2013 kabla ya kuhamia DSM na kuanza kuishi Sinza madukani kwenye hostel moja hivi.
Kashiriki sana Super nyota lakini hakuwahi kutoboa hiyo ngoma ya Sijakusahau inazaidi ya miaka minne toka itoke
Jimmy mkali sana, Tatizo ajaloga vizuri watu wanambania sana.Afanye shughuli nyingine. Muziki hawezi
N.B: Ushauri wa bure
Mdogo wangu hapa matusi ndio nyumbani. Wewe rusha Moja tuu tukeshe