Huyu jogoo ananitia aibu!!!!

uko juu Makoye asante kwa ushauri umetusaidia wengi.
 
Ndio maana huyo demu bado ni bikra kama unavyosema, kwani nadhani jamaa wote alioenda nao hawakuona ndani. Hebu jaribu kufuatilia historia yake kwanza. pole sana kwa kutoona ndani!
 
Wewe kama unampango wa kuoana naye tafadhali kuwa na subira, acha uzinzi una madhara makubwa tena utakuwa umepata chombo cha kweli maana chako mwenyewe hicho hakijatumiwa na wengine..
 

kaolewa na jini mahaba huyo - hataki mtu agushe kidude - toka nduki bwa mdogo wafwaa... lol
 
Umeniskumbusha mbali saaaana! Iliwahi kunitokea mwaka 1995. Ni tatizo la kisaikolojia tu kama wengi walivyosema. Demu ukimpania muda mrefu, siku ukiwa nae hali hiyo mara nyingi hutokea. Pole sana!
 
Ushauri wa bure: Acha zinaa, mpokee Yesu Kristo, utakaswe!
 
Pole sana kiongozi kwa kukosa hizo fursa mbili mfululizo. Hilo ni tatizo la kisaikolojia kama alivyogusia #26. Hata mimi iliwahi pia kunitokea kama hivyo,ikawa balaa ya kujisemesha semesha! Sikupata fursa ya pili kama wewe, hivyo sikujali sana.
 
Hapo huna tatizo lolote ni wasiwasi wako tu ndio umesababisha yote hayo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…