Huyu Juma Mgunda atatwambia nini baada ya goli la kizembe kabisa

Huyu Juma Mgunda atatwambia nini baada ya goli la kizembe kabisa

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Asee sitaki hata kumsikia na ni aina ya watu wajinga wanaoangusha sana taifa letu.Uswahili uswahili tu
 
Siku zote huwa naamini kwamba si lazima kocha au kiongozi wa mpira awe ni yule aliyewahi kucheza mpira. Kwanza wengi wa wachezaji huwa wanakosa fursa ya kupata elimu ya darasani kwa sababu ya kutumia muda wao wa umri wa uanafunzi katika mpira
 
Leo Kaseja amenikumbusha enzi za Claus Kindoki! Golikipa aliyepigiwa chapuo na papaa Mwinyi Zahera, lakini mwisho wa siku akageuka kuwa janga.
 
Manila garasa kabisa metch 3 za simba na Al hiral,5 simba na as vita 5 simba na sosoal 4 metch 3 bao 14 ,pumbavu kabisa

State agent
 
Watanzania ,kufungwa ni sehemu ya mchezo hamna haja ya kulalamika ,tukubali kwa matokeo yoyote ,hivi hadi sasa tumewekeza vijana wangapi huko Ulaya ,Amerika ,China etc?tungewekeza kwa vijana kama mataifa ya wenzetu ndipo tungeanza kulalamika,hatuna chochote !!Watu wa kulalamika Africa ni Nigeria,Ghana,Senegal,Algeria,Ivorian,Misri, lakini sisi bado sana ,ningetamani kaseja awaseme watanzania wanaomlaumu na wale wanaotarajia kumlaumu kwa lile goli,sikilizaaaa wewe yaani mpira umewapita nyinyi wote watu kumi halafu mje kunilaumu mimi?Kizazi cha kulaumu bado hakijafika tusubiri kwanza labda 2099
 
Attachments

  • IMG_20191102_221826.jpg
    IMG_20191102_221826.jpg
    76.9 KB · Views: 1
Washabiki wa mikia waacheni makocha wa stars wafanye kazi yao,mlimuanzishia zengwe amunike sbb ya mkude ss hivi mnawaanzishia hawa waliopo sababu ya manula!hii ni timu ya taifa tutangulize uzalendo kwanza
 
Asee sitaki hata kumsikia na ni aina ya watu wajinga wanaoangusha sana taifa letu.Uswahili uswahili tu
Unamlaumu vipi Kaseja kwa goli lile, kwa nini usiwalaumu mabeki ambao walimuacha yule jamaa akakokota mpira, akatulia na akapiga bila presha. Halafu kwa kawaida ikiishatokea tu kila akamface mshambuliaji wa timu pinzani ni lazima apunguze goli. Swali je kwa goli letu la Pili unamsifu mfungaji au unamlaumu kipa na ni goli la mbali kuliko alilofungwa Kaseja.
 
Soma vizuri heading.
Ninamlaumu mgunda kwa kutoa lugha ya kashfa na hajaomba radhi.
Alitoa lugha mbaya sana akijibu swali aliloulizwa na waandishi.
Hata kama ni kweli manula hana kiwango,hakustahili kusema maneno yale na ingekuwa vizuri sana na nisingemlaumu kama angesema straight kuwa hatukumchukua kwa sababu ya kiwango chake
Unamlaumu vipi Kaseja kwa goli lile, kwa nini usiwalaumu mabeki ambao walimuacha yule jamaa akakokota mpira, akatulia na akapiga bila presha. Halafu kwa kawaida ikiishatokea tu kila akamface mshambuliaji wa timu pinzani ni lazima apunguze goli. Swali je kwa goli letu la Pili unamsifu mfungaji au unamlaumu kipa na ni goli la mbali kuliko alilofungwa Kaseja.
 
Asee sitaki hata kumsikia na ni aina ya watu wajinga wanaoangusha sana taifa letu.Uswahili uswahili tu

Kumbuka pia kuwa wako wanaoiona hoja yako kuwa ni ya kiswahiliswahili na kwamba watu wa aina yako ndio wanaokwamisha sana maendeleo ya taifa letu...kulaumulaumu tu kila kukicha..
 
Back
Top Bottom