kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Hili watu wanapaswa walijue.Upuuzi tu magoli ya aina ile ndio manula anafungwa hasa.Hapo akistaafu kaseja kakolanya na metacha ndio watakaotuvusha sio Manula wana nani!
Mkuu hili povu kama nakuona vileManila garasa kabisa metch 3 za simba na Al hiral,5 simba na as vita 5 simba na sosoal 4 metch 3 bao 14 ,pumbavu kabisa
State agent
Unamlaumu vipi Kaseja kwa goli lile, kwa nini usiwalaumu mabeki ambao walimuacha yule jamaa akakokota mpira, akatulia na akapiga bila presha. Halafu kwa kawaida ikiishatokea tu kila akamface mshambuliaji wa timu pinzani ni lazima apunguze goli. Swali je kwa goli letu la Pili unamsifu mfungaji au unamlaumu kipa na ni goli la mbali kuliko alilofungwa Kaseja.Asee sitaki hata kumsikia na ni aina ya watu wajinga wanaoangusha sana taifa letu.Uswahili uswahili tu
Unamlaumu vipi Kaseja kwa goli lile, kwa nini usiwalaumu mabeki ambao walimuacha yule jamaa akakokota mpira, akatulia na akapiga bila presha. Halafu kwa kawaida ikiishatokea tu kila akamface mshambuliaji wa timu pinzani ni lazima apunguze goli. Swali je kwa goli letu la Pili unamsifu mfungaji au unamlaumu kipa na ni goli la mbali kuliko alilofungwa Kaseja.
Asee sitaki hata kumsikia na ni aina ya watu wajinga wanaoangusha sana taifa letu.Uswahili uswahili tu