D davidmimbi Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18 Reaction score 0 Nov 18, 2010 #1 Haiingii akilini mtu kama kayuni nakuwa na bifu na Kaseja,kwanza viwanja anavyotanulia kaseja ni tofauti na Kaaseja,leo iweje huyu babu agombane na kijana wake mpaka amwekee visa kwenye maisha! Kayuni weka wazi!
Haiingii akilini mtu kama kayuni nakuwa na bifu na Kaseja,kwanza viwanja anavyotanulia kaseja ni tofauti na Kaaseja,leo iweje huyu babu agombane na kijana wake mpaka amwekee visa kwenye maisha! Kayuni weka wazi!