Huyu kaka ana jinsia gani?

Kama mnampenda ndugu yenu mwacheni huru aishi kulingana na utashi wake.
 
Kwa nini mnawalazimisha watu waishi maisha ambayo si yao?

Huyu kaka angesema hataki kupanda daladala mgemlazimisha?
 
Kama mnampenda ndugu yenu mwacheni huru aishi kulingana na utashi wake.

Kula tano.

Hizi habari za kutaka kuingilia maisha ya mtu, mtu mzima, mtu ana uamuzi wake, mi sizielewi msingi wake ni nini kama si umbea na kujitia u busybody tu.
 
Inaonekana na nyie makhanisi kiaina, kama sivyo kwa nini mnawafuatilia sana?

kweli kabisa, huwezi kukosea kiaina... tuna tabia mbaya sana ya kufuatilia makhanithi.... bahti mbaya hawapendi tuwafuatilie na wanakua very sensitive... UKHANISI KAZI SANA, WATU WANAKUFUATILIA MNO, HALAFU UNAANZA KUJIHISI
 
Huyo uliyemuunganisha naye, fanya wakutane usiku, wengine wana aibu zao bhana

ahahahahahahaaaaaaaaaaaaa_na haswa haya ni mambo ya gizani.
 
Kwa nini mnawalazimisha watu waishi maisha ambayo si yao?

Huyu kaka angesema hataki kupanda daladala mgemlazimisha?
si unajua tena walimwengu tunapenda kuingilia mambo siyo yetu? tulidhani tunaokoa jahazi kumbe......................
 
si unajua tena walimwengu tunapenda kuingilia mambo siyo yetu? tulidhani tunaokoa jahazi kumbe......................

Mnaweza kuzamisha.

Mtu kama huyo hata ukimlengesha mwanamke anaweza kukaa naye au hata kuoa kwa pressure za watu, mwaka mmoja miwili kwa sababu lifestyle yake tofauti na kukaa na mwanamke wanakuwa hawapatani, wanagombana.Mume yuko kivyake vyake, mke anaona hajaliwi. Wanaachana, wote wanakuwa depressed zaidi.

Mwishowe anafunguka na kusema yote haya sababu za pressure za familia tu, mie mwenyewe hata nilikuwa sina mpango wa kuoa.

Mnachukua lawama hivi hivi.

Mwacheni aishi anavyoona sawa. Kama kuna mwanamke watakayewezana naye mtaona tu, kama maisha yake hayana mwanamke nalo si la ajabu sana.
 
Kwa nini mnawalazimisha watu waishi maisha ambayo si yao?

Huyu kaka angesema hataki kupanda daladala mgemlazimisha?

Sidhani kama ni makosa kujua hili lililoulizwa..
Na ukifuatilia sana hoja itakayokuwa inajengwa ni whether a man is impotent or a gay..
If a person acts uncommon to what is common to the society..no doubt people should be suspicious..
 
Mmmh with that age! si kawaida kabisa
MadameX hapo mnaumiza vichwa bure, lakini mama yake ndo anajua 'siri ya mtungi', sema tu wamama wengi huwa nao wanajifanya kushangaa (huku wakijua ukweli kuwa si riziki) ili kumfichia heshima mwanae
 
jamaa bado yupo kwene closet..
na mtu yeyote anayemtetea huyu is a suspect to me too..
 
Kuoa si umri. Kuoa kunatoka rohoni. Kuoa kunakotokana na pressure za ndugu, marafiki, nk hakuna maana. Maadam si mtu ambaye ana upungufu mentally, wakati ukifika ataoa. Kutokuoa pia ni choice.
 
Sidhani kama ni makosa kujua hili lililoulizwa..

Ni katika society isiyojua kuheshimu privacy ya mtu tu ndo utakuta watu wanataka kujua kama mtu ni rijali au siyo na kusema si makosa. What's next, mtataka kujua saizi ya ukuni wake?

Afadhali hao wanawake wanaweza kusema wanataka kujua kwa sababu wana interest naye, haya nyie wanaume kumchunguza mwanamme mwenzenu ndo nini sasa?

Na ukifuatilia sana hoja itakayokuwa inajengwa ni whether a man is impotent or a gay..

Akiwa impotent au gay itakusaidia nini? Au na wewe ni gay unatafuta ma gay wenzako mkutane? Kwangu mimi that's the only justification, unatafuta ma gays kwa sababu na wewe gay unataka ku fraternize nao. Kama mtu mume huna interests na gays kwa nini utake kuwafuatilia kwa sana?

If a person acts uncommon to what is common to the society..no doubt people should be suspicious..

Yeah, people with no business of their own. Ndiyo maana jamii zetu haziendelei. Badala ya kufanya shughuli za maendeleo tumekalia kuchunguzana nani gay.

Yaani uanvyosema "people should be suspicious" utafikiri mtu kaiba kitu au anatuhumiwa utapeli.Kumbe mtu hajaonekana na mwanamke.

Akikwambia yeye "Usalama wa Taifa" na ana siri anazochelea kuzitoa kama akiwa na mke au GF? Utamwambiaje?
 
jamaa bado yupo kwene closet..
na mtu yeyote anayemtetea huyu is a suspect to me too..

Kwanza kuwa kwenye closet au gay ni uamuzi wa mtu, kwa hiyo hata kama ni gay (I am not saying kwamba jamaa ni gay, hata kama) ni maisha yake kaamua. Kuanza sana kumfuatilia kwa sababu yeye ni gay kunaonyesha unapenda ma gay na possibly wewe ni gay hata kama subconsciously. Watu wengi sana wanaojifanya kupinga ma gay wamekuja kukutwa wao wenyewe ni ma gay pia.

Na kuona mtu kutetea mtu kuishi maisha anayotaka "ni suspect" kuna reveal ulivyozama katika a narrowminded culture ya kutoelewa kwamba duniani kuna watu tofauti na so long as mtu hajakuingilia kwenye anga zako, mwache awe anavyopenda.

Hizi habari za kutaka kila mtu awe kama wewe ni matokeo ya ushamba na kukulia katika jamii masikini ambazo hazijui dunia ya kijiji cha pili inaendaje.
 
Bora aendelee kua hivyo wanawake wana cost tuuu... Bora atumie
Hela yake kutoa kanisani na kwenye shuhuli mbalimbali za kimaendeleo na pia ana avoid magonjwa pia.. Nina wish ningekua ka yeye.. Ningekua mbali sana
 
mabwaku itabidi umwambie huyo shostuto wako amvulie nguo aone yaani ambake kama vipi..
 
bwahahaaa..at least nimepruv kitu, maana haidhuru mja ambaye hii habari haimhusu akatokwa povu hivi...
 
bwahahaaa..at least nimepruv kitu, maana haidhuru mja ambaye hii habari haimhusu akatokwa povu hivi...

Proof is a heavy word, kama una prove kirahisi rahisi hivi, no wonder unakuwa na medieval thinking hivi.
 
Sidhani kama ni makosa kujua hili lililoulizwa..
Na ukifuatilia sana hoja itakayokuwa inajengwa ni whether a man is impotent or a gay..
If a person acts uncommon to what is common to the society..no doubt people should be suspicious..

ukhanithi ni tatizo kubwa kuliko tunavyodhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…