doforlove87
Member
- Jan 16, 2014
- 16
- 9
Nitachagua wangu na mimiYananoga mnoooooo. Raha jamani
Sipajui[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Kwamsala ndo kwetu
Telepathic feelings.Unajua wanasemaga ‘feelings are mutual’.
Si ajabu naye ana-feel hivyo hivyo unavyo-feel wewe.....
He heKaanza kunitibu kidogo kidogo wakunyumba
Here kumbe ni Ngabu...heshima kwake.Ushamba wako ndo unanimaliza sasa. Endelea kuwa mshamba
Ipake mate bwanaBado bwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utamuweka profile picture wenzako wanamuweka kitandan..Shkamoo mapnz
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Ahahha wakunyumba ndio furaha yangu upate wa kukuridhisha ili ule uchizi uliokua unataka kuanza sababu ya genye uishe
Utakuta ni day 14 katika mpMna nini ninyi leo?
Hahaha Habari ndo hiyo. Hua namkubali sn mtu ambaye yuko straight km Madam S na wwTuko kwenye heat eeh?? [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hapana mm ni mpole sn na ukianza kumaind tu naenda kulala ht km ni mchana najifunika gubigubiSi unatuchokoza