Eee kitu ganii sijui nikurushie tuliyochat hapana mwee[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji119] [emoji119] [emoji119]
Natafuta PM ya mtu, nikianza lazima nipoteze uzi kwanzaKwani leo unatafuta nini ,[emoji23]
Uwiiiiiiiiiiiiii mlenda kabisa wala lemutuzMkipima oil sa hivi ipo level gani?
Hahaha usiende kulala kwanza mbona yeye yupo macho. Sijiibi nachati kwa uhuru kweliNilijua uko mpweke kama ivuga ndo ananibembeleza apa niende nimekataa
Nakuona unavochati kwa kuiibia
AfungukeFunguka wala usiogope
Saint Ivuga bby tunaibiwaUpitilize kitandani
Kabisaaa Leo itabidi tufunguke mahabatHakika pepo la leo si la mchezo!!
Eti eeehUkisoma katika ya maneno utagundua unachokisema ni batili kwa maana sio kweli ila una wish iwe hivyo
You are picturing something and trying to send a message to yourself ili kuifurahisha nafsi yako(relief)
Few words speaks million messages
MmmhhMuhusika keshajijua ujue
Nitampm Ngoja nipate confidenceFunguka wala usiogope
Ni yeye mama.Saint Ivuga ni wewe ni?? Umeweka mzigua dp
[emoji1] [emoji1] hapana iwe siri yako na yeye ndio maana ya PRIVATEEee kitu ganii sijui nikurushie tuliyochat hapana mwee
Manaa ulivyo na joto apo mtu hatabaki salamaIngekuwa ni mimi ningemtafuta sasa hivi nimpelekee moto wa maana mpaka majogoo na lazima angeitafuta feni iko wapi
HayaNitampm Ngoja nipate confidence
Oooh inakujaNatafuta PM ya mtu, nikianza lazima nipoteze uzi kwanza
Niliona uzi mnasema wanawake tunatoa wapi tabia ya kuwatongozaaa tuache mara mojaNdo ujikaze umwambie sio unalalamika kila siku
Weweee mimi na mbilikimo wapi na wapiNilijua uko mpweke kama ivuga ndo ananibembeleza apa niende nimekataa
Nakuona unavochati kwa kuiibia