Mmmh aisee usimpe papa yako itunze kwanzaAnataka mechi nmemgomea
Ngoja nairudisha unatala na link kabisa?Irudishe PM yetu bana
Acha kunisingizia.Anataka mechi nmemgomea
Nmekutapeli nn? Unikome ndo nmesema sikupi lalaHuyo mbilikimo ni tapeli
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ndio mkuuMkojo upi Mkuu ule polisi wanaoupima?
Leo nimetekwa na hawa wanawakeNimekuja kukuchukua naona umegoma kule leo kumepoa
Asante kaka anguMmmh aisee usimpe papa yako itunze kwanza
Nilivyoona S nikajua ni mimi?Huyu kaka nampenda sijui namtamani ila ndo vile akiweka picha yangu dp ananiburudisha sana. Baby nakusubiri urudi tuendelee.
Yours
S....n
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atapigia puchu picha yake [emoji23][emoji23]
Mikwala tu ile unafikiri hatupendi kutongozwaNiliona uzi mnasema wanawake tunatoa wapi tabia ya kuwatongozaaa tuache mara moja
Irudishe kila kituNgoja nairudisha unatala na link kabisa?
Eheheh hapa nna picha kama 5 za wakaka wakali wakali tu so usijali siwezi pigia pichuAtapigia puchu picha yake [emoji23][emoji23]
Sijakuomba kitu. Unataka kuniharibia kwa mtoto wa kitangaNmekutapeli nn? Unikome ndo nmesema sikupi lala
AiseeNi yeye mama.
Kesha kabisa usilaleLeo ntakesha kwa ajili yake ujue