Huyu kaka kabila la Mkurya alinishangaza!!!!

Jaaamaniiiiiii
 
Hawa wakurya ndivyo walivyo,ukimuudhi ugomvi hauishi kirahisi hata ipite miaka minane.....wakimaindi wanaweza kukata hata miguu ya ng'ombe yote zizini
Kinachonipa mashaka ni hawa wakurya wa dar kina Mwita waitara wasiojielewa kama wakurya wa Tarime
hahaha, unaongelea wa hapo Kitunda sio!!!!
 
😳😳😳😳😳
 
Lakin story mbaya kusikitisha ni kwamba huyo mura alijiua kwa sababu ya mwanamke ... Wake

Nguvu ya nyapu iache kama ilivyo
 
Vitu vidogo hivyo hata vijana wa kiume wa hapa Sinza mori wanafanya sana tu.
 
Usimuite katili,,,, unatoa vyeo vingi vibaya vya kila namna kwa jamaaa.
Ila huyu aliemtusi mama wa watu, hujaona ukatili wake.

Mkurya hakufanya na huyu alietusi aangalie vipimo vya kinywa chake

Mdomo unaweza leta madhara zaidi, kuliko mkono.
Hahaha umesema mdomo nikakakumbuka kamange kimambi
 
Uwezo wa kushika vitu vya moto kwa mikono mitupu wanawake pia wana huo uwezo...

Haswa maneno ya vijijini... nimeona wengi wao wanaipua vitu au kushika vitu vya moto, mikono mitupu, bila kutumia kitambaa au vitambaa na wapo kawaida tu...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…