Hii Africa bana ngai.Huyu mchezaji mpya wa vipers kama kweli ana miaka 24, je, we ndugu mwana jamii sport utakuwa na miaka mingapi?
Kwa hali hii me nina miaka 12, namiliki mke na mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja.View attachment 2483399
💯 ndio maana wakipata injury hawaponi upesiAfrika Magharibi ni time travellers.
Hata alipojua Kuwait alisema hvohvoHuyu mchezaji mpya wa vipers kama kweli ana miaka 24, je, we ndugu mwana jamii sport utakuwa na miaka mingapi?
Kwa hali hii me nina miaka 12, namiliki mke na mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja.View attachment 2483399
labda unaongea kinyume chake.💯 ndio maana wakipata injury hawaponi upesi
Ndio maana Etoo bado anahangaika na timu yao ya vijana, wengi wanadanganya umri.