Mbona unamtaja rais kimzaha mzaha hivyo?Mkuu mimi ni mzoefu Wa hiyo barabara tangu enzi za mkwere kila asubuhi na jioni lazima kunakuwa na ving'ora vya hawa wajomba na tulishazoea huo utaratibu, mkuu all in all heshimu mamlaka husika hasa hawa mabaka mabaka ukileta ujuaji mwingi hawakawii kukufundisha adabu mpaka uhame mji na kuwachukia milele, mbona misafara ya rais mnapigishwa foleni mpaka Masaa mawili hulalamiki?
sio uongo
mimi binafsi wakati nasoma Tambaza high school 2003 tulikuwa tunamuona CDF General george waitara na gari yake 4 star akiingia ngome kila siku hakuwa ma vingora wala mbwembe kama za siku hizi, tuliwahi kumpungia mkono na yeye akarudisha salamu.
mwaka huu nilikutanana chief of staff YH Mohamed dodoma anamsafara kama wa magari 5 na MP wa kutosha,tena barabarani kila kona ya dodoma Millitary police wanafanya kazi za trafiki polisi, nilibaki na duwaa ni kajisemea zama zimebadilika
nimecheka sanaHawa jamaa kweli wanapaswa kuwa na walinzi lakini wakati mwingine wana exaggerate zaidi
Kuna siku natoka hotel moja kubwa nipo nje wakatoka mp wawili mmoja anaangalia kushoto mwingine kulia yaani utafikiri tunavamiwa yaani kama wana act movie kabisa na mimi nikajisemea sijui nilale chini ku take cover maana na mimi sio wa spotispoti
Basi katoka bosi na mbembwe zote zile gari likakataa kuwaka
Mimi bado naangalia movie tu
Sent from my SM-G570F using Tapatalk