Huyu kijana amewakilisha akili za vijana wengi wa Kitanzania

Nimejikuta namhurumia tu kijana wangu huyu mweee. Hivi hawajifunzi kwa Akina Mwisho Mwampamba baada ya Ushindi wa BBA.
Anyway baada ya muda madalali wajiandae kumtafutia mteja wa hiyo ndinga maaana hatoiweza kuihudumia kamwe kwa mishe za Mikeka.
 
Hio nyumba+hio range hazifikii mil 400,so pengine bado ana chenchi chenchi ya kufanya mambo mengine.
 
Hakupata mshauri pole yake, maana salio lilisalia ataishia kununua mafuta ya hilo gari, wanaume wakitanzania mnafeli wapi jameni, au ndio kukosa exposure kunawafunga hizo akili zenu lol
 
Haya mambo ya kupangiana matumizi kwenye pesa isiyowahusu ndio tabia za Kitanzania..
Unakuta mtu hajachangia utafutaji wa hela lakini kwenye kupanga matumizi ndio kinara no 1...

Tuache hii tabia na tujikite kwenye kutafuta pesa zetu na kila mtu atumie pesa yake atakavyo muhimu ni kufuata Katiba
 
kuishi Tz raha sana, yaani huna hela ya kula ila unamuonea huruma jamaa kumiliki ndinga et mbeleni litamshinda

kama wayajua ya mbele kwa nini? ujaangalia maisha yako yatakuwaje ili urekebishe palipo na dosari
 
kwanza jamaa anajielewa ndio maana kajenga nyumba hii itampunguzia stress kama mawazo yenu yatakuwa sawa huko mbeleni.

pesa zenyewe kazipata kwa kubahatisha, hata mimi ningefanya hivyo hivyo. maisha yenyewe yapo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…