Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Mpaka hapo nadhani dogo atapitia magumu mana kuanzia 2022, Hadi sasa au wanamanisha mwaka wake wa matokeo sio ule wa kwanza alio feli, ila Kwa umri bado sana nadhani ndo ana 30
Hapo umri tuu ndo utamuuaMpaka hapo nadhani dogo atapitia magumu mana kuanzia 2022, Hadi sasa au wanamanisha mwaka wake wa matokeo sio ule wa kwanza alio feli, ila Kwa umri bado sana nadhani ndo ana 30
Ana 30 kwani mwisho si 35Hapo umri tuu ndo utamuua
Nasikia anakimbilia zenjiSiku hizi mambo yamekua mengi.. hata hatuna uhakika na kushauri, ila hapo kwenye kutaka kusoma MD na Div II. Sijui atatumia njia gani kupata hicho chuo.
Sasa bongo pamshinde kisa uwezo wa kifedha, ataweza nje mkuuPeleka nchi za nje kama india au china
Sawa AlexidoNasikia anakimbilia zenji
Hapo fresh ana vigezoAna 30 kwani mwisho si 35
Akili za kupata maarifa tanzania usidanganyweSasa bongo pamshinde kisa uwezo wa kifedha, ataweza nje mkuu
Waka wake wa matokeo. Labda umri ndo unaweza letq shidaMpaka hapo nadhani dogo atapitia magumu mana kuanzia 2022, Hadi sasa au wanamanisha mwaka wake wa matokeo sio ule wa kwanza alio feli, ila Kwa umri bado sana nadhani ndo ana 30
Private candidate siku hizi wanafaulu sana nimeshangaHapo fresh ana vigezo
Kaka siongelei maarifa naongelea pesa, pesa ndo kila kitu kakaAkili za kupata maarifa tanzania usidanganywe
Kaua mwaka huu, si wamesema mwisho 35 ye ana 30M
Waka wake wa matokeo. Labda umri ndo unaweza letq shida