Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Tangu nihamie mjini kutoka kijijini kwetu miaka ya tisini sikuwahi kuukubali sana muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo fleva na japo kidogo niliwahi kupenda baadhi ya nyimbo za wasanii wa enzi hizo za kina TID, Nature,Dully, Afande Sele,Sugu na wengineo maana enzi hizo msanii anatoa nyimbo moja tu kali zanazofuatia zote hovyo!
Sasa hivi karibuni kumeibuka wasanii wengi na mmoja wapo ni huyu wanaemwita Diamond.
Ukweli binafsi sikuwahi kumkubali msanii huyu hapo kabla ila hivi karibuni nimefanikiwa kushuhudia live show yake ukweli nimejikuta namwelewa sana huyu kijana ukiangalia show zake ni tofauti sana na wasanii wengine
Pia nikabahatika kuona baadhi ya interview zake akihojiwa na online tv moja maarufu ukweli sio mtu wa majivuno na kujiinua wala kujiona yuko juu
Yaani ni moja ya vijana wachache wenye nidhamu ya kazi.
Ukweli tungepata wasanii kadhaa wa kufikia level za huyu jamaa tutaitikisa Afrika.
Uzi tayari.!